11 September 2012

SIMBA 3-2 AZAM


 
 Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (kulia) akimkabidhi Ngao ya Jamii, Nahodha wa Simba, Juma Kaseja. Pembeni  ni beki Nassor Masoud 'Chollo' wa pili  kulia kabisa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani. 


 Azam wanapata goli lao la kwanza

 

 Mwinyi kazimoto akiwapungukia mkono mashabiki wa simab baada ya kufunga goli la ushindi. Kulia Nyosso na kushoto Abdallah Juma

No comments:

Post a Comment