13 September 2012

KANDORO KUKATA UTEPE MPIRA WA PETE KESHO MBEYA

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro




Ligi kuu ya mpira pete  inatarajia kuanza kesho  mkoani mbeya ambapo mkuu wa mkoa wa mbeya Abbas kandoro ndiye amepewa dhamana ya kuwa mgeni rasmi katika sherehe za ufunguzi wa mashindano  kaimu katibu mkuu wa Chama cha Mpira wa pete CHANETA  Rose mkisi anasimulia kuhusu ratiba na utaratibu wote utakaotumika hapo kesho .

Kaimu katibu mkuu chaneta Rose Mkisi
SIKIZA HAPA 

No comments:

Post a Comment