13 September 2012

WAANDISHI ZNZ WAPIGWA MSASA

 
Viongozi waKampuni ya  Grand Malt Chama cha soka Zanzibar  ZFA, wakiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa habari za Michezo Zanzibar,Mara baada ya semina ya siku moja katika kuelimisha namna ya kuhabarisha jamii habari za michezo kwa umakini, mafunzo hayo yalifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.   

No comments:

Post a Comment