10 September 2012

Ligi Kuu Zanzibar - Jamhuri 2 - Duma 0


Wachezaji  wa klabu ya soka ya Jamhuri wakiongozwa nahodha wao wa pili kushoto Mfaume Shaban pamoja na Mohamed Omar mwenye jezi namba 15, wakishangilia goli la pili lililofungwa na Mfaume Shaban kwa njia ya penalti, kwenye mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar ya ‘Grand Malt’ uliochezwa uwanja wa Gombani pemba , na Jamhuri kuifunga Duma magoli 2- 0 (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment