10 September 2012

Ligi Kuu ya Grand Malta Zanzibar Malindi 2 na Bandari3


 Mshambuliaji wa timu ya Bandari Zanzibar Sharif Kitwana akimiliki mpira katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar  Grand Malta  huku beki wa timu ya Malindi Samir Khamis akijiandaa kumzuia, timu ya Bandari iliifunga malindi  3-2

No comments:

Post a Comment