11 September 2012

LIGI KUU ZANZIBAR MTENDE YAITWA ZIMAMOTO 3-0



 Milnda mlango  wa timu ya Mtende Salum Said, akiokoa hatari  katika eneo lake la kujidai  na kudaka  mpira mbele ya ,mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika, katika mchezo wa ligi ya Grand Malt, timu ya Mtende Ranger ya Mtende ilishinda  3--0

No comments:

Post a Comment