10 September 2012

TZ YAPATA WAAMUZI WAWILI FIVB


Fivb2

 Israel G Saria LONDON

Baada ya miaka 40 mchezo wa mpira wa mikono umefanikiwa kupata waamuzi wawili wa kimataifa wa mchezo huo, Waamuzi hao Ni  Alfred Salengia na  Ms Agapa  walichaguliwa katika kituo cha maendeleo cha michezo cha  Khartoum huko  Sudan baada ya mafunzo ya siku tano yaliyoaanza mwezi Kenda 2 hadi sita mwaka huu  .waamuzi hao ni sehemu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano wa chama cha mpira wa mikono nchini TAVA
Mwanzoni mwa miaka ya tisini Muharam Mchume alihudhuria mafunzo ya kimataifa ya  wiki moja huko Lagos Nigeria Mafunzo hayo yalifanyika katika kituo cha michezo cha  Surulele huko  Lagos ambapo alifanikiwa  kuchaguliwa kuwa mwamuzi  wa kimataifa wa mchezo huo 
Mchume alifanikiwa kuchezesha mechi za klabu bingwa afrika huko Nairobi Kenya katika miaka ya tisini japokuwa kuna waamuzi zaidi zaidi ya 120 ambao wanatarajiwa kupatikana  hadi kufikia 2017 ili kupata waamuzi wanaokizi viwango na kwenda sawa na mabadiliko ambapo kwa sasa tanzania inafanya kazi kwa pamoja na FIVB ilikufika malengo hayo TAVA inatumai kuwa imeanza kuwa na mwanzo mzuri ilikuweza kufikisha mchezo katika hatua na hadhi ya kimataifa 

No comments:

Post a Comment