21 October 2012

Caroline Wozniacki ANYAKUA Kremlin Cup


Caroline Wozniacki Ameshinda Taji lake la  20th katika mfululizo wa maisha yake katika mchezo wa tenis mmoja mmoja akimshinda Sam Stosur 6-2 4-6 7-5  na kutwaa ubingwa huo wa  Kremlin Cup huko moscow siku ya jumapili  .Caroline Wozniacki's  ambaye baba yake , Piotr, alikuwa mchezaji wa kulipwa wa soka wakati mama yake Anna alikuwa mchezaji wa kimataifa wa mpira wa mikono  Mchezaji huyo Mwenye miaka   22- ni mchumba wa mcheza golf nambari moja Duniani  Rory McIlroy

No comments:

Post a Comment