22 October 2012

KLABU BINGWA AFRIKA NI WAARABU WATUPU Esperance, Ahly



Mohamed 'Geddo' Nagy alithibitisha urejeo wake kiwanjani  baada ya kufunga goli pekee lililoipa ushindi Al Alhy dhidi ya Sunshine Stars toka  Nigeria 1-0 mchezo uliochezwa jijini   Cairo na kuingia hatua ya fainali klabu bingwa Africa baada ya mechi ya kwanza kwenda suluhu ya 3-3

No comments:

Post a Comment