14 October 2012

Dani Pedrosa AFANYA KWELI JAPAN AMSHINDA LORENZO



Mhispaniola  Dani Pedrosa  Ameshinda katika mashindano ya kuendesha pikipiki baada ya kumshndana raia mwenzake waa hispania  Jorge Lorenzo na kushinda mashindano ya   Japanese Grand Prix katika mwaka wa pili mfululizo  .
Ushindi huu wa nne ummemfanya  Pedrosa kusaliwa na alama  28 nyuma Dereva wa  Yamaha huku kukiwa kumesaria  mizunguko mitatu sasa anatakiwa kusubiri  Lorenzo Achemke.

Alvaro Bautista' amabaye ameshika nafasi ya tatu katika tumu ya honda alikuwa mhispania mwingine ambaye ambaye alishika nafasi moja nyuma ya Lorenzo  katika mzunguko ulijojuriakana kama Motegi's

Lorenzo, amabye ni bingwa wa mwaka 2010, alishindwa kumaliza vema sahari hii japkuwa alikuwa akiongoza katika hatua za mwanzo kama hajapitwa na  Pedrosa.

Hii ni mara ya tano kwa Lorenzo kushindwa kufanikiwa kushinda katika hatua ya mwisho mara ya mwisho aliyofanikiwa kushinda ilikuwa mwaka 2012 mashindano hayo yalipofanyika   Qatar.



No comments:

Post a Comment