HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 October 2012

LATVIA KIBARUA BILA MKUFUNZI WAO Aleksandrs Starkovs



Timu ya soka ya Taifa ya Latvia itasafiri kwenda  Slovakia katika mechi yao ya kuwaania kufuzu fainali za kombe la dunia   2014 huko Brazil dhidi ya  Slovakia ,hapo kesho na itakuwa bila ya kocha wao mkuu  Aleksandrs Starkovs, ambaye kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kufanyia uapasuaji wa  appendix .

" kwa bahati mbaya sitakuwa na Timu katika safari hii ya slovakia kocha mwenye miaka 57 aliweka wazi taarifa hizo zilitolewa na shirikisho la mpira wa miguu la Latvian . " Nina penda kuwashukuru mashabiki na waandishi Habari ambao wamekuwa wakulizia hari yangu ya kiafya siku chache zilizopita .lakini kwa sasa nina shukuru naenedelea vizuri

kutokuwepo kwake uwanja timu hiyo itakosa kuchagizwa na moja kati ya wachezaji wakubwa katika timu hiyo  kwani  aliwahi kuchezea timu hiyo ya taifa miaka ya  1970s na 1980s, wakati Latvia ilivyokuwa sehemu ya   USSR - Timu hiyo sasa itaongozwa na  kocha msaidizi wa timu hiyo  Juris Sevlakovs. Starkovs Amesema kuwa atakuwa sawa na atakuwa akiwasiliana  na timu yake na kutokuwepo kwake akuta haribu ufanisi wa timu kiwanjani  Nina vutiwa na timu ya taifa itakuwa safi itakapokuwa katika majukumu yake huko Bratislava," Amesema Starkovs

Latvia ilianza vibaya mwezi uliopita katika kampeni yao ya kuwania kufuzu fainaliza kombe la dunia huko brazil baada ya kufungwa na ugiriki mabao mawili kwa moja na badae kufungwa mabao manne kwa moja dhidi vinara wa kundi hilo la G   Bosnia. Baada ya mechi hiyo watasafiri kuwafuata  Liechtenstein huko Riga  siku ya jummanne  

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers