HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 October 2012

Lienen APEWA KIBARUA AEK ATHENS

Mjerumani  Ewald Lienen amechaguliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya  AEK Athens mpaka msimu utakapokwisha ,ambapo timu hiyo kutoka  UGiriliki  imetangaza siku ya juamatano.  Vyombo vya Habari vimeripoti  kuwa kocha mwenye miaka 58 atakuwa akipata ujira wa uro €150,000  huku akipewa nafasi zaidi kukaa msimu ujao katika benchi la ufundi la timu hiyo kocha huyo ,anafahamika Zaidi Nchini humo  kwani aliwahi kuifundisha soka nchini  UGiriki akiwa na klabu ya  Panionios mwaka  2006 hadi 2008. pia aliwahi kuifundisha Olympiakos mwaka  2010. kocha huyu amewahi kufundisha Vilabu vya MSV Duisburg (1993-1994), Hansa Rostock (1997-1999), FC Koln (1999-2002), CD Tenerife (2002), Borussia Monchengladbach (2003), Hannover 96 (2004-2005), 1860 Munich and Arminia Bielefeld (2010-2011).

Lienen anaziba nafasi ya Vangelis Vlachos alifukuzwa mwezi uliopita na kupatwa na matatizo ya kiuchumi ambapo timu hiyo ilanza vibaya katika ligi ya nchi hiyo ambapo ilishnda mechi moja na kwa sasa ina alama mbili tu katika mechi ilizo cheza na inakamata mkia 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers