18 October 2012

MAISHA PLUS :FAINALI YA MAMA SHUJAA WA CHAKULA

Mshindi wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni mshindi wa pili kutoka mkoani Kagera Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba.
FULL SHANGWE.blog

No comments:

Post a Comment