17 October 2012

BORINI,KURUDI MWAKANI

CNN) -- Liverpool inakabiliwa na matatizo  katika nafasi ya ushambuliaji baada ya   Fabio Borini  kuambiwa atakaa nje kwa miezi miatu ilikuuguza majeraha .
Borini, alisaini  wakati wa kiangazi kwa ada ya uhamisho wa  $17million kutoka ROMA  atakwenda kufanyiwa upasuaji mdogo  kwenye mguu na atarejea kiwanjani mwakani  Mshambuliaji huyo wa italia aliumia katika mechi ya ligi ya premier dhidi ya Manchester kabla ya kujitonesha katika majukumu ya timu ya taifa .


No comments:

Post a Comment