HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 October 2012

NI SHEREHE YA KUZALIWA YA AINA YAKE KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17



SIKU YA KUKUMBUKWA  –Kulikuwa na sherehe ya kubwa katika jiji la Baku jana  katika mechi mbili za robo fainali za Kombe la dunia  wanawake chini ya miaka 17 ,2012   ambapo kulikuwa na sherehe mbili za kuzaliwa za aina toafuti  na zote mbili zilikuwa za kusisimua na kushangaza  ya kwanza ilikuwa ina mhusu kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya ujerumani   Anouschka Bernhard, ambapo wachezaji wake walicheza na kujihakikishia nafasi ya kihistoria ya nusu fainali  katika baada ya goli la dakika ya mwisho dhidi barazil kuipa ushindi wa mabao mawili kwa moja   2-1 ambapo sasa itakwaanza na Jamhuri ya watu wa korea .

lakini kwa mshangao mwingine ilikuwepo sherehe nyingine baada ya timu ya taifa ya ghana kuingia kwa mara ya kwanza katika nusu fainali ya michuano  baada ya kuwafunga wenyeji Japan  ,Sharifatu Sumaila, alifunga goli lililo ipa ushindi malkia hao weusi  ,ambao sasa watakwaanza na ufaransa katika hatua ya nusu fainali ambapo ufaransa wanakumbukumbu nzuri ya kuzifunga timu za afrika ,
Dhidi ya  Gambia 10-2  katika hatua ya makundi na baadae kuifunga Nigeria kwa mikwaju ya pernaty bada ya kwenda sare ya kutokufungana .
ROBO FAINALI MATOKEO
Germany 2-1 Brazil
Japan 0-1 Ghana

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers