7 November 2012

BRAZIL YAFANYA KAZI KUBWA MSHAHARA MDOGO FIFA



Mabingwa mara Tano wa Dunia  Brazil wamejikuta wakitupwa ya orodha ya timu kumi bora katika msimamo (10) szilizotolewa jumamatano licha kushinda mechi zao za kirafiki na kufunga magoli kumi  .

Brazil, ambao watacheza mechi nyingine watacheza dhidi ya Colombia wiki ijayo ,waliiikutang'uta Iraq 6-0 na  Japan 4-0 wamepanda nafasi moja kutoka kumi 14 hadi kumi na tatu 13


Timu hiyo inafundishwa na Mano Menezes's imecheza  19 tangu icheze mechi za Copa America mwaka ,na imeshinda mechi   15.
FIFA WORLD RANKINGS

1. (1) Spain
2. (2) Germany
3. (4) Argentina
4. (3) Portugal
5. (8) Italy
6. (5) England
7. (6) Netherlands
8. (9) Colombia
9. (12) Russia
10. (11) Croatia


130 Kenya 248 -2
130 Puerto Rico 248 -1
132 Moldova 241 13
133 São Tomé e Príncipe 240 -1
134 Tanzania 237 -2
135 Bermuda 235 -15
136 Nicaragua

No comments:

Post a Comment