7 November 2012

MANCINI AIKASIRIKIA CAMERA

Huku majahriwa ya  man city yakiwa yanaonekana kuota mbawa katika ligi ya mabingwa barani ulaya.
baada ya kutoka  sare ya mabao mawili kwa mawili dhdi ya Ajax kocha wa timu hiyo Roberto Mancini alionekana mkali alipofuata na vinasa picha za runinga baada ya kuchanganyikiwa kwani mustakbari wa timu ya kusonga mbele haujafamika kwani wananafasi ndogo zaidi ya kutafuta ushindi 
kutokana na timu wanazocheza nazo ikiwemo mabingwa mara tisa wa ligi hiyo real madrid na mabingwa wa mwaka 1997 Borusia Dortmund ambapo city inatakiwa kushinda mechi hizo huku ikiombea timu hizo zitoke suluhu ya aina yeyote zitakapo kutana mancini alikuwa mkali kiasi cha kuwanyooshea kidole wapiga picha wa runinga . 

No comments:

Post a Comment