4 November 2012

KAGERA SUGAR 2-0PRISON

Vijana wa kagera sugar wakiingia kiwanja mara baada ya Kushangilia   bao liliofungwa na temy alfonsi mzaliwa wa muleba katika mchezo wa ligi ya tanzania dhdi prison Kagera imeshinda mabao mawili kwa bila  katika uwanja wa Kaitaba .
Hili benchi la Tanzania Prison wakishuhudia timu yao ikikung'utwa mabao mawili kwa moja katika uwanja wa kaitba .

No comments:

Post a Comment