4 November 2012

QUEEN PARK RANGERS 1-1READING

QPR na Reading Bado zinatafuta ushindi wao wa kwanza katika ligi ya premier ya uingereza baada ya leo kwenda suluhu ya goli moja kwa moja katika uwanja wa  Loftus Road.

 Kaspars Gorkss's alifunga goli la tikitaka kuwapa Reading  la uongozi hadi nusu ya kwanza
lakini Rangers, ambao  waligongesha mpira kwenye mlingoti wa juu kwa mpira uliopigwa na  Esteban Granero's , lakii Cisse alisawazisha katika kipindi cha pili hadi mwisho wa mchezo timu hizo zimetoka sare ya goli moja kwa moja.

No comments:

Post a Comment