20 November 2012

KWAHERI MLS BECKHAM

Mchezaji wa Los Angeles Galaxy  David Beckham ataondoka timu hiyo pale atakapocheza mechi ya mwisho ya Kombe la MLS Cup Mwezi  December 1, maafisa wa timu hiyo wametoa taarifa hiyo .

Kiungo huyo wa kiingireza alijiunga  na timu hiyo ya  Galaxy mwaka  2007, ambapo alikuuza jina la ligi ya Marekani na aliiisaidia timu hiyo kutwaa uibngwa mwaka 2011.

Bekham ametangaza hilo leo na ni miezi kumi na miwili mara baada ya kusaini kandarasi ya mwaka ambapo alisema alitaka kupata uzoefu wa wa mwaka moja zaidi katika ligi hiyo 

No comments:

Post a Comment