21 November 2012

LIGI YA MABINGWA ULAYA JUVEE YAIUA CHELSEA VIBAYA CHELSEA KUSUBIRI MAJAHRIWA YA MUNGU





Lionel Messi

Barcelona inaungana  Manchester United, Porto na  Malaga katika hatua ya mtoano ya   16 ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya baada ya kuifunga Spartak Moscow.
Lionel Messi's  alifunga goli mbili katika dakika za 79th na  80th magoli hayo yanamfanya kukaribia rekodi yake mwaka   2012 huku akisalia na magoli   kumi na tatu  ya  Gerd Muller's ya mwaka 1972 kwa mabao 85   

Ushindi huu wa Barca wakitoka sare dhidi ya Benfica  in amaana  Celtic watafuza hatua inayofuata  .

Juventus celebrate their second goal.
Juventus 3
Quagliarella 38′ Vidal 61′ Giovinco 90′

Ezequiel Garay celebrates for Benfica 

Benfica 2
Ola John 7′ Garay 71′
Celtic1 Samaras 32′
 Burak Yilmaz of Galatasary scores  

Galatasaray 1
Yilmaz 54′
  • BATE Borisov 0 - 2 Lille FT
  • Spartak Moscow 0 - 3 Barcelona FT
  • CFR Cluj-Napoca 3 - 1 Braga FT
  • Nordsjaelland 2 - 5 Shakhtar Donetsk FT
  • Valencia 1 - 1 Bayern Munich
 
 

No comments:

Post a Comment