HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 November 2012

LIGI YA MABINGWA ULAYA USIKU WA KUAMKIA LEO HATARI TUPU


Arsenal Imeshindwa kulinda magoli yake mawili iliyopata katika kipindi cha kwanza dhdi ya Schalke 04  na kufanya kundi B la  arsenal kuwa katika hari ya usawa ambapo timu yeyote  kati tatu za juu kuwa na uwezo  wa kufuzu hatua ya motoano ya ligi ya mabingwa barani ualaya huku kukisalia mechi mbili 
Theo walcot akiinza kwa mara ya nne tangu msimu huu uanze ndiye aliyeiptaia arsenal goli kuongoza kabla ya  Olivier Giroud kufunga goli la pili kwa kichwa 


 lakini  Klaas-Jan Huntelaar aliirudisha timu ya mchezoni kabla ya nusu ya kwanza kumalizika 
 Jefferson Farfan ndiye aliyeiokoa shalke o4 na kugawana alama na   Arsenal .
Manchester City ilijitahidi kurejesha magoli mawili kutoka kwa ajax katika uwanja wa nyumbani wa etihad lakini majariwa ya kusonga katika michuano ya ligi ya mabaingwa yapo kwenye mikono ya wenyewe kutokana na matoke ya mechi nyingine .

 Siem de Jong aliwaonyesha kuwa city hawajui kukaba mara baada ya kufunga mara mbili ndani ya dakika kwa kona ndani dakika  17 za mwanzo wa mchezo  .
 City ilirejesha kupitia kwa  Yaya Toure's akimalizia mpira safi kutoka kwa  Sergio Aguero .
 Aguero alifunga goli lakini katika dakika za mwisho lakini alikuwa amekwisha otea .
 Ili kufuzu hatua inayofuta ya kumi na sita bora 16, Roberto Mancini's na vijana wake wanatakiwa kushinda mechi zote mbili zilizo saraia za kundi  D Dhidi ya  Real Madrid na  Borussia Dortmund, huku wakiomba  Dortmund kuifunga  Ajax na Ajax itoke suluhu dhidi  Madrid.
AC Milan
Alexandre Pato (73)
1
Málaga Club de Fútbol

Eliseu (40)
----------------
Paris Saint-Germain FC

Alex (16),
B. Matuidi (61),
J. Ménez (65),
G. Hoarau (80)

0
GNK Dinamo Za
--------------------------------------
RSC Anderlecht

D. Mbokani (17)

0
FK Zenit
---------------------
Olympiakos CFP

Paulo Machado (4),
L. Greco (80),
K. Mitroglou (82)
1
Montpellier HSC

Y. Belhanda (Pen 67)
----------
FC Dynamo Kyiv
0
FC Porto

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers