HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 December 2012

CRISTIANO RONALDO KUREJEA OLD TRAFORD



Klabu ya Manchester United imepangwa na Mabingwa mara tisa wa ulaya na mabingwa wa uispania  Real Madrid katika hatua ya kumi na sita bora ya Ligi ya mabingwa ulaya .  Mechi hiyo itakuwa  ya uerejeo wa  mchezaji wa zamani wa Man U  Cristiano Ronaldo katika dimba la  Old Trafford kwa Mara ya kwanza tangu alipouzwa kwa pauni   £80m kutoka United Kwenda  Real
Mwezi  June 2009.

 Aidha Celtic itakwaana na mabingwa wa  Italia  Juventus, huku  Arsenal wakipambana na washindi wa pili wa michua no hiyo msimu uliopita   Bayern Munich.

 Mabingwa mara nne Barcelona watapambana na mabingwa mara saba   AC Milan, huku  Valencia ikiwakalibisha matajiri kutoka ufaransa  Paris St Germain.

 Borussia Dortmund watawakaribisha vijana kutoka ukrane  Shakhtar Donetsk  huku  Porto fc wakipangwa na  Malaga, nayo  Galatasaray ya uturki itacheza na timu kutoka ujerumani   Schalke

Galatasaray v FC Schalke
 Celtic v Juventus
 Arsenal v Bayern Munich
 Shakhtar Donetsk v Borussia Dortmund
 AC Milan v Barcelona
 Real Madrid v Manchester United
 Valencia v Paris Saint-Germain
 FC Porto v Malaga

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers