HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 December 2012

NUKUU ZA 2012 (Gennaro Gattuso) KAZI KWELI KWELI !



“Vijana wachezaji  mpira kiwanjani Wakiona Mpira machoni ni kama wameona chakula . Nakwenda mbali zaidi Ni kheri nikamuaona  Raul Kiwanjani kuliko Heidi Klum Akiwa uchi !”


Mario Basler

Baada ya Mazoezi ya Kwanza na  Rangers,Nilikwenda Kuonga,Niliporudi katika vyumba vya kubadilishia Nguo,Nilikutana na harufu kali iliyotoka kwenye vitu vyangu. Nilichukua NGuo ya ndani katika Begi yangu kulikuwa na jambo kubwa limefanyika . Paul Gascoigne alikua ame*****rea nguo zangu za ndani  ! Gazza ni Kichaa ambaye anapenda  Mizaha wakati wote . Amechanganyikiwa. Ndivyo alivyo , Lakini ilibidi nendeshe gari Bila ya Nguo za Ndani Hadi nyumbani 
Gennaro Gattuso

Nikiamua kufunga ,Nafunga ,Nafikiri mimi ni Jinias Ninaamini kuwa ni ninaakiri sana kuliko wastani na ukimpata mtu mwingine kama mimi nitakununulia Chakula cha usiku ,kipaji mungu amenipatia ni chari ya juu lakini ni vigumu kwani watu wengi wapo kwa ajiri ya kukuhukumu lakini watu wachache wenye vipaji hivi na wachache Ndio wanaotakiwa kukuhukumu  
Mario Balotelli

"Kama jina langu Lingekuwa  Diamantinho Au  Diamantinic, Thamani yangu ingekuwa  €40m.Hapa  Italy, Vilabu havina shida kusainisha wachezaji wa bei mbaya kutoka nje lakini huwa vigumu kusainisha wachezaji wa kitaliano  kwa gharama hiyo jamani huu ni utani Huwezi amini lakini wachezaji wa nje wanathaminiwa kuliko kipimo  
Alessandro Diamanti

"Sikuwahi kujiigiza kama  kucheza soka ni fani  . Sikuwa kutroti  .sikulala vizuri  . Sikula kama mwanamichezo .Nilikuwa nachelewa mazoezini  .Sikufanya jitihada zozote mazoezini kilasiku na Bado nilifunga  magoli  1,002 . Ningefanya jitihada zote ningefunga 2,000 .lakini  1,000 bado ni Nzuri  
Romario

Wachezaji Bora bila shaka  kwa muda wote ni Pele. Na Baada ya hapo ni  Alfredo [Di Stefano], [Johan] Cruyff, na  Diego [Maradona]. katika nyakati hizo , Messi angekaa bechi kuliko kuwa star  .Na wachezaji wote wa  Barcelona wanaosema wanacheza kwenye timu bora kuliko zote duniani wangekuwa wanapasha misuri nje nyakati Maradona na  Cruyff." 
Hugo Gatti

Unanipenda  au unipendi  ,Mimi ndie kocha niuliyeshinda ligi tatu tofauti na muhimu . So,Labda kabla ya kuniiita mimi Mtu maalum  ',Watu wanatakiwa Kuniita  'Wapekee'.
Jose Mourinho

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers