31 January 2013

BEKHAM NDANI YA PARIS ST GERMAIN


David Beckham 

David Beckham Yupo Parc des Princes na anafanya uchunguzi wa kiafya katika Hospitali ya    Pitie-Salptriere huko  Paris na ataonekana moja kwa moja akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada kukamilisha usairi huo . katika tovuti ya klabu hiyo  16:00 GMT.
David Beckham

No comments:

Post a Comment