31 January 2013

MAMBO TAYARI MARIGA ARREJEA PARMA

McDonald Mariga: The midfielder has joined Parma on a six-month loan deal
 Kiungo wa Inter Milan  McDonald Mariga amerejea katika klabu yake  ya zamani ya  Parma kwa mkopo wa mwaka mmoja .

Kijana huyo mwenye miaka 25 Ameshindwa kucheza katika klabu hiyo ya   Nerazzurri kocha mkuu  Andrea Stramaccioni amethibitisha hilo

Mchezaji huyo raia  Kenya  aliwahi kuichezea  Parma kwa miaka mitatu na alifunga mabao matano katika mechi sabini tatu alipojiunga akitokea Helsingborgs.

Tayari ameshafanyiwa vipimo vya afya na atatambulishwa kwa waandishi wa habari leo hii 

No comments:

Post a Comment