24 January 2013

DR FENELLA AKUTANA NA UJUMBE WA KILI MARATHON,PIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KOREA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3TX4OLZ9V4IA3sAC2sLVKoRSdKY6ME_9zlH710pxMVBV7MtlLiA-cuCzTnuCL5NnQzzLOOrsiR1VxI0I_2DSFbSe9QbGTenfu-wz0RyHofqORg7CPTE8hsIcPufZSi-xrQAYER1hToOc/s1600/IMG_0363.jpg 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution,Agrey Mareale na Mkurugenzi wa Uhusiano na Jamii wa Kampuni ya TBL,Steven Kilindo walipomtembelea ofisini kwake kwa nia ya mazungumzo ya hapa na pale ambapo walimuomba awe mgeni Rasmi katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon yanayotarajiwa kufanyika mjini Moshi tarehe 3/3/2013


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtcDdwBZF2nE-eg2bgXiZ0QziuvnZMyv7m7-6JhsrkhUWh1nKNdg71aSkO3lvo1RkfFwKdCFjEkjW6n2gkmPAJ6TuUhd2Ltl4cZNAzOUdE9evfFZmHVEUIuW_fiOKFljJHxaQb7nA6FkA/s1600/IMG_0388.jpg 
Rais wa Kampuni ya Young Poong Ecoenergy kutoka Korea Bwana JaeJong Moon akiteta
jambo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara walipokutana
Ofisini kwa Mheshimiwa Waziri Jijini Dar es Salaam jana (Leo)
.


No comments:

Post a Comment