28 January 2013

Hassan Kadio APATA BARAKA ZA GYMKHANA CLUB


http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mwanyenza(1).jpg 


Chama cha Mchezo wa kulipwa wa  Golf Tanzania kimemchagua mchezaji kutoka klabu ya  Gymkhana ya jijini Dar es salaam ,
   Hassan Kadio kucheza katika mashindano ya wazi ya kenya ambayo yataanza katikati ya mwezi ujao jijini  Nairobi.
Maaumuzi ya kumpata nafasi hiyo mchezaji huyo wa golf wa zamani wa klabu ya 
TPC-Moshi walitazama zaidi ubora wa kiwango kuwa katika ubora ule ule katika mechi za hivi karibuni.
 
Mashindano hayo yataanza Feb 14 kusini Mwa Nairobi huko par-71 Karen Country 
 Hiii ni mara ya pili kwa Kadio  kuchaguliwa katika mashindano hayo 
 
Watanzania wengine waliowahi kushiriki mashindano hayo ni  Stanley Sanga, John Davies Jr. Olais Mollel, Yasin Saleh, Bryson Nyenza, Adam Mohamed, Olais Mollel and lastly Fadhil Nkya. Mbwana Juma
 .

No comments:

Post a Comment