HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 January 2013

RONALDO NI KAZI NGUMU KUMFANYA KILA AKUPENDE LAKINI SCOLARI AMFAGILIA

Cristiano Ronaldo Real Madrid 


 Mchezaji wa Timu ya soka ya Real Madrid ya Uispania Cristiano Ronaldo ambaye ana miaka 27- amewaambia mashbiki duniani kote  kuwa ni vigumu kuwafurahisha mashabiki wote na ukapata mapokezi kwa mashabiki wote hata wale wasiokupenda 

"Hata Mungu huwa hampi kila kitu mtu pindi anaposari vingine humnyima.Nina jaribu kuwa mtu mzuri kwa kila mtu iliniwe kivutio kwa kila mtu lakini lakini kuonyesha upole au ustaarabu kwa kila mtu sio jambo Rahisi bila kujari watu wananipenda au kunichukia
Aliongeza kuwa , " Ninajaribu kufanya kazi kwa bidii ili niweze kufanya jambo kubwa zaidi katika mtazamo wangu kila mtu anatakiwa kufanya jambo vizuri kutoka na weredi wa kazi yake .

Kwa uapande mwingine kocha wa zamani wa Ureno  Luiz Felipe Scolari hana jingine zaidi ya kumsifu mchezaji ambaye anaamini kuwa anastahili kuwa mchezaji bora zaidi ya mara moja

Nina mchezaji ambaye anataka kushinda .Huwa hapendi kushika nafasi ya pili  na anapaenda kuwa bora ni mchezaji wa uhakika na wa kimataifa aliongeza
," Scolari .  "Kwangu mimi ,alitakiwa kushinda tuzo ya uchezaji wa bora wa fifa kama mara tatu

Mchezaji huyo ni moja kati ya wanandinga wanaogambania kutwaa tuzo bora ya dunia maarufu kama  2012 FIFA Ballon d'Or akipambana na  Andres Iniesta na  Lionel Messi.

JCOLE VAN NI BORA DUNIANI!!!
 West Ham United v Manchester United, Robin van Persie 
Mchezaji wa timu ya soka ya Liverpool ya uingereza  Jcole amemsifu mchezaji wa Mancheter uinted Mholanzi Robin Van Persie ambaye alisawazisha goli dakika za mwisho na kuipa timu yake ya Man united nafasi ya kucheza mechi ya marudiano na timu yake ya kombe la FA Dhidi ya West Ham.

J Cole,  Ambaye alitengeneza magoli mawili aliporejea katikia timu yake ya zamani baada ya mabao mawili kwa moja dhidi Mansfield amesema Van Persie anastahili kuwa moja kati ya  wachezaji tatu bora

"Ukimchukua [Lionel] Messi na  [Cristiano] Ronaldo na  Van Persie ni moja kati ya  wachezaji bora zaidi duniani ,” Aliimbia  Guardian.

"Alikuwa akicheza upande wa kushoto pale Arsenal kwa miaka mingi na alipata matatizo ya kuumia mara kwa mara na kumuamishia katikati imemuongezea uwezo wake hasa katika kumkimbia na  umaliziaji wake ni mzuri  kwa kweli ni mchezaji mzuri  .

"Mzuri kumtazama na ni hatari kukutana nae."

Van Persie amefunga magoli  20 katika mechi  26 tangu ajiunge wakati wa kingazi akitokea arsenal kwenda Old Traford
.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers