28 February 2013

DIDIER DROGBA RUKSA KUCHEZEA GALATASARAY HOJA YA SCHALKE O4 HAINA MASHIKO

Benedikt Howedes and Didier Drogba

Didier Drogba Ameruhusiwa kuchezea klabu ya soka ya Galatasaray ya uturuki  katika ligi ya mbaingwa ya ulaya baada ya kutupiliwa mbali kwa malalamiko ya timu ya schalke kutoka ujerumani kukataliwa

Mchezaji huyo mwenye miaka 34 alicheza mechi yake ya kwanza katika ligi ya mabingwa barani ulaya Tarehe 20 katika hatua ya mtoano ya mzunguko wa kumi na sita bora 
ambapo hoja kuu ya timu hiyo ya ujerumani ilikuwa mchezaji huyo hakusajiriwa katika muda sahihi kiasi cha kumfanya kucheza katika ligi ya mbaingwa barani ulaya 
.
Aidha shikiriko la vyama vya soka ulaya UEFA limesema kuwa mchezaji huyo ailisajiriwa Feb 1 na kama wangekutwa na hatia wangetakiwa kwenda kucheza mechi ya mkondo wa pili wakiwa na deni la bao tatu ikiwa ni adhabu ya kuchezesha mchezaji ambaye harusiwi kucheza 

.Wakati hayo yakiendelea kwa amchezaji huyo aliyesaini miezi kumi na nne kuchezea timu kwa mkopo kutoka shanghai shenhua mwezi january timu hiyo  bado inakwenda kushitaki fifa kwani imeshangazwa na kitendo cha mchezaji huyo kuondoka ghalfa

 

No comments:

Post a Comment