HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 May 2013

AMANI IBRAHIM MAKUNGU AIBUKIA KWENYE KIKAPU ,PEMBA

 
Michuano ya mpira wa kikapu ya  Ali Yussuf Thabit Kombo Inaanza kesho kisiwani Pemba huku timu kumi na mbili  12 zikitarajiwa kushiriki .

Aidha mashindano hayo yatajumuisha  jinsia zote mbili zitashiriki pamoja na bingwa mtetezi  Tornado hii ni kwa mujibu wa chama cha mpira wa kikapu Zanzibar, BAZA.
katika hari isiyotegemewa aliyewahi Rais wa ZFA  Amani Ibrahim Makungu anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika ufunguzi wa Mashindano hayo

Mwenyekiti wa BAZA  Charles Augustino Lubega amesema kuwa maandalizi yamefikia hatua nzuri kwa sasa na wameyaandaa kwa ajiri ya kutangaza visiwa hivyo vya Zanzibar  .
wamechaguwa kisiwa cha pemba ili kusaidia ukuaji wa mchezo wa kikapu kisiwana humo ..

Kila timu itakayoshinda katika kila jinsia itapata shilingi lakini tatu  300,000/-, Na pea moja ya jezi na mipira mi tatu .

Huku washindi wa pili watapata 200,000/- , na mipira miwili  .huku mshindi wa tatu atapata shilingi 100,000/-,na pea moja ya jezi na mpira mmoja  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers