HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 May 2013

Ancelotti's AAGWA PSG KWA RUNINGA


Ancelotti's PSG exit confirmed

Kituoa cha Runinga cha michezo cha  BeIN , ambao ndio wamiliki wa kampuni ya michezo ya Qatar  –Ambacho ndicho kinachomiliki timu ya  PSG – kimetangaza kuwa  Carlo Ancelotti anaachana na klabu hiyo Mapema leo hii  , Ancelotti alikutana na Rais wa  PSG na  Mkurugnzi wa soka  , Nasser Al-Khelaifi na  Leonardo ,Kushughulikia mustakabari wa kocha huyo,na Makubaliano yameshafanyika na mtaliano huyo anaondoka klabuni hapo na anatarajia kusaini na klabu nyingine  ..

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers