HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 May 2013

EXIM BANK ZANZIBAR YAINENEPESHA HITS FM RADIO LAKI MBILI

Kutoka kushoto aliyekaa ni kocha wa timu hiyo ya hits fm ya zanzibar ADNAN ALI anayefuata ni ni Mwinyi mkuu ngalima Meneja wa EXIM BANK tawi la zanzibar ALIYESIMAMA NI KATIBU WA TIMU HIYO Jacob Joseph na wa Mwisho Kulia ni Amina Chezo Mhariri wa habari Hits fm 92.5 ya Zanzibar


Timu ya mpira wa miguu ya HITS FM RADIO zanzibar imepata msaada wa  shilingi laki mbili kutoka katika benki ya Exim tawi la zanzibar ili kufanikisha timu hiyo kuingia katika michuano ya MAZINGIRA CUP ambapo kati ya timu nane za serikali ya zanzibar ni timu ya Hits fm radio ndio timu ya taasisi binafsi iliyochaguliwa kuingia katika michuano hiyo ambayo jana  ndio ilizinduliwa  michuano hiyo  lakini Hits fm radio itaingia uwanjani tarehe 31/5 ambapo itacheza na ofisi ya makamu wa kwanza wa rais zanzibar.
Mwiny mkuu Ngalima meneja wa EXIM Bank zanzibar akimkabidhi katibu wa hits fm raio Jacob Joseph kitita cha shilingi laki mbili kwa ajiri ya maanadalizi ya timu hiyo katika michezo yake ya kila siku

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers