HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 May 2013

HUU NDIO MKASA WA FAINALI NNE ZA ULAYA KWA ROBEN



Bayern Munich matchwinner Arjen Robben

Arjen Robben  Anasema kuwa goli alilofunga katika fainali ya klabu bingwa ya ulaya dhidi ya Borussia Dortmund limkumbusha mambo mengi sana katika miaka ya nyuma ya maisha ya soka yake Kijana huyo mwenye miaka 29 alipoteza fainali mbili dhidi ya Inter milan na chelsea na mbaya zaidi kukosa pernaty dhidi ya chelsea katika uwanja wa nyumbani na kwenda kushinda katika uwanja wa wembley .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa uholanzi alikuwa moja kati ya wachezaji ambao timu yake ilifungwa katika fainali zakombe la dunia dhidi ya uispania mwaka 2010 nchini afrika kusini 
"Huwezi kutaka uwe katika kundi la watu waliofungwa ," anasema kijana huyo baada ya ushindi wa   Bayern' dhidi ya Dortmundu  2-1. 
Bayern Munich winger Arjen Robben (right) scores the winner against Borussia Dortmund at Wembley
"Tulikuwa na majonzi sana msimu uliopita lakini binafsi niliumia zaidi kwani nilifungwa pia mchezo wa fainali ya kombe la dunia dhidi ya uispani  na ni bahati kucheza fanali tatu ..
"sikuogopa sana . Nilijaribu kujiweka katika mfumo chanya wa kuwa naweza kupata nguvu ya kufanya jambo kiwanjani . Sikuanza kufikilia upande hasi ,Bila hivyo ingekuwa ngumu sana  .
"Usiku wa jana nimefunga goli . Tumefanikiwa kufanya hilo na  sasa tunaweza kusahau mambo mengine ."
Bayern walipata goli la kuongoza baada ya  Robben kumpatia pasi ya aina yake mshambuliaji Mario Mandzukic na kufunga goli hilo  .


Dortmund walisawazisha pale  Ilkay Gundogan alipofunga kwa penarty baada ya   Dante kumfanyia  Marco Reus lakini  Robben's alifunga katika dakika 89th- na kuipa Bayern ushindi .
Kocha wa Bayern  Jupp Heynckes alikubali kuwa kipindi cha kwanza hawakupewa nafasi yoyote ya kuondoka na ushindi lakini mabadilko ya kipindi cha pili yaliifanyika Bayern kuibuka tena na ushindi pasipo kutegemewa
 'Retire? You'll find out after cup final'
Bayern watakuwa kiwanjani wiki ijayo kuwania kombe la Ujerumani  na kama watatwaa kombe hilo basi watakuwa wamechukuwa vikombe vitatu msmu huu .
"Beki wa kulia wa
Bayern ambaye ni nahondha wa  Ujerumany  Philipp Lahm amekubali kuwa kufungwa katika fainli mbili zilizo pita kuliwafanya wakaze mguu kiwanjani . 
"
 Bundesliga dominance is here to stay
 
Kuffour: Bayern must win to match my team
"

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers