HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 May 2013

MANCHESTER UNITED YAMTENGEA Alcantara €18 million


 

Klabu ya Manchester United inatazamia kuweka dau la yuro milioni kumi na nane kwa ajiri ya kumnasa Thiago Alcantara kwa ajiri ya msimu ujao . Aidha mazunguzmo hayawezi kuanza bila kuweka kiasi hicho mezani kwa ajiri ya mazungumzo , kiasi ni kama cha kuweka ushawishi wa mazungumzo hayo na kiasi ambacho anauzawa mchezaji huyo ni cha kawaida kwa sababu hakuweza kuhudumu mara nyingi msimu uliopita  katika timu hiyo . Thiago aliongeza kandarasi yake miaka miwili iliyopita na alitarajiwa kuuzwa kwa yuro €90 millioni. Kiwango hiki cha pesa kimepungua hadi kufikia €18 millioni baada ya kutocheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha Barcelona .
 mshara wa mchezaji huyo hauwezi kuwa kikwazo kwa timu itakayo mchukua kwani mchezaji kwa sasa anaingiza yuro  €1.8 millioni kwa mwaka ,kiasi ambacho klabu nyingi zinaweza kukihimili hasa kwa klabu za ulaya .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers