HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 May 2013

Mohamed Abu Treika,KURUDI KWA MASIR


 

Mshambuliaji wa kimataifa wa Misri , Mohamed Abu Treika, anatarajia kurudi nchini kwao misri katika klabu ya , Al Ahly baada ya kumaliza mwaka mmjoa wa mkopo huko  UAE.
“Nitarudi nyumbani kwetu baada ya kumaliza mkataba wangu wa mkopo msimu huu japokuwa naskia vizuri kukaa hapa lakini nataka kurudi nyumbani na kwa mashabiki wangu” .
Mchezaji huyo mwenye miaka  34-amecheza kwa miezi sita katika timu ya falme za kiarabu   UAE  Abu Dhabi timu inayojilikana kama  Bani Yas’ na kuisaidia timu hiyo kushinda kwa mara ya kwanza kombe la ligi kuu ya nchi hiyo GCC League .
Kwanini uliamua kuondoka katika klabu ya wazazi wako ?
“Nilikuwa na sababu zilizonifanya niondoke Al Ahly wakati wa baridi na sababu zenyewe zimekwisha malizika  ,” .
Mchezaji huyo alifunga goli katika siku ambayo aliagwa yaani jana dhidi ya  Al Khor ya  Qatar.
“Ninafuraha kuondoka Bani Yas ambayo imeshinda   GCC taji la lao kwanza msimu huu ,”.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers