HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 May 2013

Marcel Desailly AANZISHA UHASAMA NA TOTENHAM HOT SPURS

Marcel Desailly 


Marcel Desailly  ambaye ni mchezaji wa zamani wa klabu za AC MILAN CHELSEA NA UFARANSA anaaminin kuwa  Gareth Bale anatakiwa kuondoka   Tottenham ili aende akacheze kwenye klabu ambayo inauutamaduni wa kushinda vikombe ".
Kijana huyo raia wa wales,anamiaka  23,anachukuliwa kama moja ya wachezaji wanaotakiwa na klabu ya Real Madrid.
Kocha wa Spurs Andre Villas-Boas anasema ni jambo gumu kutoweza kumpoteza mchezaji bora mara mbili .
  Desailly, ameimbia ,  BBC Sport Wales: kuwa "anatakiwa kuondoka,anatakiwa kuondoka huyu . Tottenham haita mpatia nafasi ya kucheza katika ngazi ya kimataifa ."
Tottenham's imeshindwa kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya na kufanya klabu nyingi zaidi kumuwania mchezaji huyu kwa minajiri ya kuwa zenyewe zimeshafuzu kucheza michuano ya ulaya  Bale ameshinda magoli 21 ambayo yamesisaidia   Tottenham kufikisha alama   72 ambayo ni rekodi kubwa zaidi katika klabu hiyo msimu huu .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers