HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 May 2013

ROONEY AITIKSA MANCHESTER TENA ANATAKA ..........


 Wayne Rooney

Manchester United imesisitiza kuwa mshambuliaji na kiuongo wa timu hiyo  Wayne Rooney  hauzwi  baada ya yeye mwenyewe kuomba kuondoka kwa mara ya pili katika viunga vya  Trafford mchezaji huyo  mwenye miaka 27-ambaye ni mchezaji wa zamani wa Everton alimwambia  Sir Alex Ferguson  majuma mawili yaliyopita kuwa angependa kuondoka baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka tisa Msemaji wa uinted
amesema : "Wayne Rooney  hauzwi " Taarifa hizi zinakuja baada  ya kocha wa timu hiyo kutangaza kujiuzulu mwishoni mwa msimu huu
Rooney kama atasaria united ataungana na kocha wake wa zamani David Moyes, ambaye atatangazwa kama mrithi wa Ferguson leo badae Roney akiwa na 18, aliuzwa na  Moyes akitokea katika klabu yake  Everton  August 2004  kwa gharama ya £27m. na amekwisha funga magoli  197 katika mechi  402 akiwa na manchester united ,Na ameshinda mataji matano ya ligi ya premier, na mawili ya Carling cup kombe moja la ligi ya mabingwa barani ulaya  na msimu huu amefunga magoli 16 katika mechi 37 kati ya magoli hayo kumi na mbili kwenye ligi kuu ambapo wametwaa ubingwa hivi karibuni
likiwa ni taji la 20 kwa klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers