HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 May 2013

Stevan Jovetic ASAINI MIAKA NNE ARSENAL KULIPWA PAUNI LAKI MOJA KWA JUMA


Jovetic Farewell
Taarifa kutoka katika kiwanja cha Emirates Stadium ambao ndio kiwanja kinachomilikiwa na klabu ya arsenal zinasema kuwa wameshakubalina na mchezaji huyo na sasa wanafanya makubaliano binafsi  .
-
Arsenal juma hili itakamilisha jambo ambalo mashabiki wa arsenal wamekuwa wakilisubiri kwa hamu kubwa la kumsainisha mshambuliaji wa  Fiorentina  Stevan Jovetic.Taarifa za kuthibitika zinasema washika bunduki hao wamekwisha fika makubaliano ya kununua mchezaji huyo
Mwenye miaka  23 raia wa  Montenegro .
Stevan Jovetic Napoli

Timu hiyo yenye maskani yake Kaskazini mwa London italipa kiasi cha yuro  €29m  au pauni (£24m) kwa ajiri ya kijana huyo mwenye kipaji cha hari ya juu  Jovetic ametia sain i miaka miine na atakuwa akipokea ujira wa pauni laki moja kwa juma .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers