HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 May 2013

MTALIANO Nicola Rizzoli KUAMUA UGOMVI WA WAJERUMANI WEMBLEY

Rizzoli to referee UEFA Champions League final 
Mwamuzi kutoka Italia Nicola Rizzoli amaetangazwa kuchezesha mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya baina ya  Borussia Dortmund dhidi ya  Bayern Munich mchezo utakao pigwa katika uwanja  Wembley siku ya jumamosi .Mwamuzi huyo mwenye miaka  41- amekuwa mwamuzi wa kimataifa tangu mwaka  2007.
alichezesha mechi ya kwanza ya fainali ya ligi ya ulaya mwaka  2010  iliyochezwa uwanja wa Hamburg, ambapo  Atlético de Madrid iliifunga  Fulham FC 2-1 katika muda wa nyongeza ,na amechezesha mechi tatu  katika michuano ya ulaya  EURO 2012. kiujumla , Rizzoli amechezesha na kuhusika katika mechi  26 za ligi ya mabingwa barani ulaya ,nne kati ya mechi hizo ni za msimu huu ikiwemo  ya mkondo wa pili wa hatua ya  16 kati ya  Málaga CF na  FC Porto.
Mwamuzi huyo atasaidiwa na wataliano wenzake  Renato Faverani na  Andrea Stefani. na mwamuzi wa nne atakuwa  Damir Skomina kutoka  Slovenia na wamuuzi wengine wa akiba ni , Gianluca Rocchi na  Paolo Tagliavento,wote kutoka italia . wamuuzi ambao watakuwa katika benchi kama mabo yataaribika ni – Gianluca Cariolato – ambao wanamaliza timu ya waamuzi wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers