HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 May 2013

SUAREZ :AMUUZI MUGABE HARARE

Critic: Robert Mugabe has laid into Liverpool's Luis Suarez 
Katika hari isiyokuwa ya kutegemewa Luis Suarez's amemkera vibaya Rias wa Zimbabwe ,zamani Rodesia hasa baada kumng'ata beki wa kati wa klabu soka ya chelsea   .Mugabe alikasirishwa  na tabia hiyo chafu baada kufanya kitendo ambacho sio cha kiuna michezo kabisa uwanja na kufungiwa mechi kumi dhidi ya Chelsea
Mugabe ambaye amekiri wazi kuwa ni mshabiki wa Chelsea ya uingereza amemtuhumu Suarez kwa tabia yake mbaya ya kuwauma wenzake na ukizingatia ni mchezaji ambaye anacheza soka ya kimataifa na  kufanya upuuzi kwanjani , Mugabe: “Kile kilikuwa ni kitendo ambacho sio cha kiuanamichezo  kabisa cha    Luis Suarez  kumuuama Branislav Ivanovic.
“Michezo ni sehemu ya ushindani na sio vita .
“michezo ambayo huleta ushindani katika ngazi kimataifa . Hapa kwetu kuna mechi kama  Dynamos Dhidi Highlanders – na hizo ni mechi za ngazi ya chini na wachezaji wanatazama mechi kama sehemu ya kujifunza sasa mtu anatoka zake huko anageuza mchezo wa kuuma wenzake sasa huyo akili sawsawa kweli?

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers