HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 May 2013

TFF NA FUFA ZAANZA MAZUNGUMZO YA KUBADILI RATIBA YA CHAN !


 

Shirikisho la soka la tanzania TFF ambalo ndilo litakalo kuwa mwenyeji kati ya mechi ya tanzania dhidi ya uganda Tarehe 23 mwezi june kabla ya kurudiana baada ya wiki mbili kuwania kufuzu michuano ya kombe la chan ambayo huhusisha wachezaji wanaocheza soka ndani ya nchi  ,wakati huo tanzania itakuwa inashiriki michuano ya COSAFA  dhidi ya mauritius katika mechi ya ufunguzi ambapo timu kumi na nne zitashiriki  mashindano yatafanyika katika miji ya Lusaka, Ndola, Kabwe na  Kitwe huko  Zambia.

Katibu  mkuu wa shirikisho la soka tanzania TFF  Angetile Osiah amesema kupitia mtandao wa star africa kuwa aamini kama ndugu zao wa uganda wanaweza kukataa kubadili ratiba japokuwa bado hawajapata jibu kutoka fufa ili kubadili Tarehe.
Kenya na  Tanzania, ni nchi zinazotoka katika ukanda wa cecafa ambazo zimealikwa katika michuano hiyo ambapo zitakuwa pamoja na Swaziland, Namibia, Botswana, Lesotho, Mauritius na  Seychelles Zambia, South Africa, Angola, Zimbabwe, Mozambique na  Malawi ,aidha kocha wa timu hiyo kim poulsen amesema kuwa timu yake itacheza mechi ya kirafiki kabla ya kucheza na  Morocco’s  June 8 katika maechi ya marejeoano kuwania kufuzu fainali za komb la dunia zitakazofanyika nchini brazil mwaka 2014 .
K-SPORT.COM ilimtafuta katibu mkuu wa tff angetile osiah kwa simu lakini akutaka kuweka wazi kwa sababu ya  za kiofisi 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers