
- Baada ya klabu ya manchester United na Liverpool kukubali kufanya ziara ya kujiandaa na msmi ujao wa ligi ya uingereza nchini Australia mashabiki wa mpira wa nchii hiyo wamefanya kufuru .baada ya kunua tikiti Elfu themanini na mbili kwa dakika kumi nane .hii ni ishara ya kuonesha uchumi wa soka la Australia unakua ," amesema Kyle Patterson, Mkuu wa mahusiano ,na mawasilano ya shirikisho la mpira wa miguu Australia."kwa sasa tupo katika mwenendo mzuri kutembelewa na klabu kubwa kama Manchester United na Liverpool na hii inamaana ya kuwa timu hizi zitashika vyombo vya habari na hii ni habari njema kwa soka la nchini ."Vilabu hivi viwili kutembelea Australia vitaongeza soko la soka bara la asia
No comments:
Post a Comment