29 May 2013

TIKITI 82,000 ZAUZWA KWA DAKIKA 12 TU ZA KUIONA MAN U AUSTRALIA

Robin van Persie - Manchester United friendly against A-League All Stars in Sydney sells 82,000 tickets in 18 minutes

  • Baada ya klabu ya manchester  United na  Liverpool kukubali kufanya ziara ya kujiandaa na msmi ujao wa ligi ya uingereza nchini Australia mashabiki wa mpira wa nchii hiyo wamefanya kufuru .baada ya kunua tikiti Elfu themanini na mbili kwa dakika kumi nane .hii ni ishara ya kuonesha uchumi wa soka la Australia unakua ," amesema  Kyle Patterson, Mkuu wa mahusiano ,na mawasilano ya shirikisho la mpira wa miguu  Australia.
    "kwa sasa tupo katika mwenendo mzuri kutembelewa na klabu kubwa kama  Manchester United na  Liverpool na hii inamaana ya kuwa timu hizi zitashika vyombo vya habari na hii ni habari njema kwa soka la nchini ."
    Vilabu hivi viwili kutembelea Australia vitaongeza soko la soka bara la asia

No comments:

Post a Comment