HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 May 2013

WATOTO WA DI STEFANO WAMGOMEA BABA YAO KUOA MTANGAZAJI WA TV MAHAKAMANI !!!!

 
.
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid Alfredo Di stefano 76 ambaye alitangaza kumuao mtangazaji wa Televisheni   marry Costa ambaye ni raia wa costa mwenye miaka  35 Gina Gonzalez, , ambaye amekuwa kwenye mahusiano naye kwa miaka mitatu sasa .wawili hao walikutana wakati kimwana huyo alipokwenda kumsaidia kufanya mambo ya kiuchinguzi  ambapo wamesema wataoana mwezi huu lakini watoto wa  Di Stefano wamefungua kesi mahakamani ili kulinda haki za baba yao watoto hao  – Silvana, Alfredo, Helena, Sofia na  Ignacio – wamefungua kesi na jaji wa  Madrid wiki hii wakikubalina kufungua kesi ya kinga kuhusu mali za baba yao 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers