HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 May 2013

YAYA TOURE AWACHEFUA WAFANYAKAZI WA CITY

Wafanyakazi katika klabu ya  Manchester City's wanaohudumu katika uwanja wa  Etihad Stadium wameshutushwa na taarifa kutoka katika klabu hiyo baada ya kutangazwa kuwa watafuta utaratibu wa kutoa tikiti za bure kwa wafanyakazi wa uwanja huo na badala yake watatakiwa kununua tikieti hizo na sivyo kama walivyozoea zamani .
katika barua waliyo andikiwa kujulishwa kuwa kila mfanya kazi katika klabu hiyo atanunua tikiti kwa nusu bei .
City, ambao hawana mkufunzi tangu alipofukuzwa kocha wa timu ya hiyo Roberto Mancini, na inasadikiwa kuwa itakuwa klabu ya kwanza kufanya hivyo ulimwengu lakini moja ya mfanyakazi ambaye hakutaka kutaja jina lake aliliambia gazeti la  Manchester Evening News kuwa kitendo hicho sio cha kiuungwana .
Feud: Staff at the Eithad Stadium are angry over plans to withdraw theri complimentary season tickets
Hawa ni baadhi ya wafanyakazi katika uwanja wa :  Eithad Stadium
Big money: Staff say the money the club will save would not pay Yaya Toure (centre) for two days
Ni pesa nyingi : Baadhi ya wafanyakazi wanasema klabu inataka kutumia fedha hizo kumlipa Yaya Toure kitu ambacho bado hakitafanikiwa  (ambaye pichani ni huyo wa katikati) kwa mechi mbili tu
Wanasema : 'jambo hilo limetengeza miajadara  na Najua watu wengi ambao wamekaa kwa miaka mingi sasa hawajiskii vizuri na wanataka kuondoka .
'Tunapata tikiti mbili za bure kila msimu ikiwa ni moja ya makubaliano ya mishahara .
'lakini sasa tumeambiwa kuwa tutapata tikiti hizo lakini tutahitajika kulipia asilimia hamsini huu sio ungwana na sio jambo la kiistarabu huu ni usaliti .
'Wanatumia mamilioni ya pesa kutengeneza timu mpya kule New York wakati sasa wanaanza kuchukua pesa tena katika mifuko ya wafanya kazi hapa Manchester.
'na sasa tuna wasiwasi ni aina gani ya watendaji watakuwa wananunua tikiti hizo sidhani kama  Patrick Vieira atatakiwa kulipa tikiti.
Pitching the question: An angry staff member queried whether Patrick Vieira was still entitled to free tickets


'Huu unaoneka ni utawala mbovu .Kiasi  watakacho okoa hakikidhi kuweza kupata pesa ya kumlipa  Yaya Toure’s  hasa kwa tiki mbili ni hizi ni siku mbili sasa sidhani kama zitafika kulipa fedha hizo japokuwa wamekuwa wakatangza mauzo hayo bado kumesalia kuwa na viti ambavyo viko wazi .'

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers