HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 June 2013

ARSENAL YAPEWA NAFASI KWA VILLA NI £10 million KUMUONDOA BARCA


Taarifa kutoka Ujerumanai zinasema Arsenal inapewa kipaumbele zaidi kumnasa mshabuliaji wa  Barcelona  David Villa dhidi ya  Tottenham.

Punto Pelota amesema kuwa  Barca imechoshwa na Villa huku akiwa anachelewa kufanya maamuzi kuhusu mustakabari wake wa msimu ujao ambaye kwa sasa anaiwakilisha nchi yake katika kombe la mabara nchini Brazil . Barca inataka kumalizana na mchezaji huyo haraka iwezekanavyo ili waweze kuongeza mtaji wao katika usajiri . 

Arsenal, Spurs na  Atletico Madrid wanamfukuzia  Villa, lakini Gunners wananafasi kubwa kwani uwepo wa rafiki yake mkubwa  Santi Cazorla katika Dimba la   Emirates kutasaidia kumpereka mchezaji huyo . 

Tottenham imekwsha toa offa nyingi kifedha.lakini , Arsenal wamekwisha wasiliana na mchezaji husika Mwezi  December, wakifanya makubaliano binafsi kabla ya krismas .
Barca wanasisitiza kutaka kiasi  pauni  £10 million ili kuweza kumsajiri mchezaji huyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers