HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 June 2013

FAINALI YA KOMBE LA FA CUP YARUDI KAMA ZAMANI

Wigan


Fainali ya Kombe  FA Cup sasa itachezwa kama za miaka ya nyuma mwishoni mwa msmimu baada ya ligi zote kumalizka kwani mara ya mwisho kufanyika hivyo ilikuwa mwaka   2010  lakini kuanzia mwakani itarejea kama kawaida .
kwa siku za karibuni Fainali ilikuwa ikichezwa kabla ya mechi tatu kumalizika .
lakini kuanzia mwaka 2014 fainali itakuwa ikichezwa  baada ya  premier kumalizika . 

Katibu mkuu wa chama cha soka FA  Alex Horne: Anasema "Tumepata maombi kutoka kwa mashabiki na vyombo vya habari wakiomba fainali ya kombe la FA ichezwe  siku ya peke yake kitu ambacho kitafanyika mwaka  2014."
Mwaka  2011, Manchester City iliifunga  Stoke katika siku ya fainali  siku hiyo hiyo  Manchester United ilitwaa ubingwa wa ligi .

Msimu uliopita , Wigan ilishinda kikombe cha  FA Cup Goli moja  1-0 Dhidi ya  City, na siku tatu baadae ilishuka daraja .
wengi walifikiri kuwa sababu kubwa ilikuwa kwa ajiri ya fainali mbili za klabu bingwa ulaya lakini FA imesma kuwa hiyo siyo sababu ya kubadilisha kalenda hiyo.
Kwani kulikuwa kuna sababu kadhaa za matengenezo 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers