HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 June 2013

FERNANDINHO ATUA CITY KWA UCHUNGUZI WA KIAFYA NIA YAKE NI KWENDA BRAZIL

Kiungo wa kimataifa wa Brazil  Fernandinho  amewasili katika jiji la Manchester kwa ajiri ya uchunguzi wa kiafaya baada ya kukamilika kwa usajiri wa pauni milioni 22 kutoka klabu Shakhtar Donets kwenda  Manchester City.
Mchezaji huyo mwenye miaka  28-ambaye alikuwa akitaka mwenyewe kuja kucheza uingereza ili aweze kutimiza ndoto yake ya kucheza kombe la dunia mwakani nchini kwao Brazil’s 2014 katika kikosi cha kombe la dunia cha Brazil ,alipigwa picha katika Hosptali ya  Bridgewater Hospital.
On his way: Brazillian midfielder Fernandinho arrives for medical at a Manchester hospital
Mbrazil  Fernandinho akiwasili katika jiji Manchester kwa uchunguzi wa kiafya
Brazillian midfielder Fernandinho has his medical at a Manchester hospital on Wednesday morning to join Manchester City.
Fernandinho alikuwa na wasiwasi kuwa ndoto zake za kucheza katika ligi kuu ya uingereza zingezimwa na  Shakhtar’s ambao walijaribu kum'bana ili asijiunge na klabu kubwa katika ligi kuu ya uingereza .
MBrazil  huyo alishatangaza wazi kuwa alikuwa akihitaji kuhama klabu hiyo ya  Ukrain ,lakini alikuwa na wasiwasi kuwa  Shakhtar wangekataa offa ambazo zingeletwa na  klabu za uingereza alihisi dau lake linaweza kupanda hadi pauni milioni  £42.5.
‘Siku niliyosaini,Mkurugenzi wa klabu hiyo amesema na kuni hakikishia ni jambo la kawaida kwa wachezaji wake . ‘na uhamisho utafanywa kwa na tutakubaliana  bei  .’

‘Niliwaamini, na sikufikilia kama kungeweza kutokea matatizo ambayo yangweza kutokea badae .
‘Ndoto yangu ilitishiwa kwa sababu ya kupandishwa thamani ambayo siyo ya kwangu .’
Kocha wa Shakhtar  Mircea Lucescu Ndiye aliyeweka dau kubwa kwa Fernandinho, ambaye alifunga goli dhidi ya Chelsea katika ligi ya Mabingwa ulaya kwenye hatua ya makundi ,Ferna anasema kuwa hata wachezaji wenzake walimtaka ahamie Man City.
Fernandinho feared his move could be scuppered by £42.5m price tag
: Shakhtar wameshindwa kum'bakiza mchezaji huyo
Brazillian midfielder Fernandinho

kila mmoja angependa mimi niendeleee ,' Wanajua ligi ya premier ni ligi kubwa na 
 Manchester City ni timu kubwa , Nawananitakia maisha mema na kucheza vizuri kama nikijiunga na City. Nitapata kuonekana, kwa sababu Wabrazil hawaikubali sana ligi ya   Ukrainian . kwa lolote nalofanya hapa nchi yangu haitambui.
‘Kwa maana hiyo, kucheza katika ligi ya uingereza ni heshima na kutaongeza kiwango na nitakuwa moja kati ya wachezaji bora ,na itanisaidia kuitwa katika timu ya taifa .
Pedigree: Fernandinho, left, scored against Chelsea
: Fernandinho, Kushoto , akishangilia goli alifunga dhidi ya  Chelsea
Pedigree: Fernandinho, left, scored against Chelsea

Fernandinho ni mchezaji mwenye nguvu ,anauwezo wa kukimbia na kupeleka mashambulizi.na anauwezo wa kukaba , na anaweza kucheza kwa ustadi sehemu ya ndani ya kiungo .
Hingawaje hayuko haraka katika uwezo wa kupangua mabeki  au kuwa na kipaji cha moja kwa moja, kama alivyo mkongwe , Andrea Pirlo, Ni mzuri kwenye kumiliki mpira , na anatumia akili katika kuindesha timu na kuzuia na ana jicho linaloweza kutengeneza mashambulizi .
anafanishwa na kioungo wa chelsea MBrazili Ramires, lakini  Fernandinho's ni hatari zaidi kwenye kupiga pasi .

 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers