Nigeria pull clear as Malawi held
© AFP
Mabingwa soka katika bara la Afrika  Nigeria wameiondoa malawi katika uongozi wa kundi lao kwenye michuano ya kufuzu kombe la dunia ™ baada ya kuifunga kenya goli moja kwa sifuri  1-0 katika jiji la Nairobi .
Ahmed Musa Ndiye aliye waudhi mashabiki wa kenya zikiwa zimesalia dakika tisa mchezo kumalizika na kuwapa tai hao wa kijani alama mbili zaidi za uongozi dhidi Malawi na kuongoza kundi F baada ya mechi Nne .

Malawi imetoka suluhu ya kutofungana na  Namibia mchezo uliopigwa Blantaya , Malawi ambao walikuwa wakilingana alama na  Nigeria Wakati mechi ilipokuwa imeanza .
mpaka sasa Kenya  haijashinda mechi hata moja huku ikiwa na suluhu mbili, wakati  Namibia, wana alama nne ,ambao wanasalia katika nafasi ya tatu.
Mechi hii ya leo imechezwa kutokana na  Nigeria's  kukabiliwa na mashindano ya shirikisho  yanayotaraji kuanza Brazil Juni 15 mwaka huu .